Radojka Nikolić anadai kuwa watu milioni 2.4 katika Serbia wanaishi kwa mapato ya kuishi huku 700,000 hadi 800,000 wakiwa chini ya mstari wa umaskini.